RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya ( GWPSA ),
alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo na kutoa maelezo kuhusiana na
mkutano wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika leo 11-3-2022, katika ukumbi wa Hoteli
ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Tanzania
ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa
maelezo ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika,
unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa
Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Rais Mstaaf wa
Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWSPA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment