Habari za Punde

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kusini Unguja Mzee Haji Abdalla wakati alipomtembelea kumjulia hali Kijijini kwake Jambiani Kibigija Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Machi, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo leo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid kabla ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo. 

 Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.