Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ikulu Chamwino Dodoma


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo tarehe 11 Machi 2022 Ikulu Chamwino Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.