Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Dini Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar Es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar Es salaam.

 

PICHA NA IKULU

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.