Afisa Mdhamini Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale nd. Zuhura Mgeni Othman akizungumza na walimu Wakuu wa skuli zilizomo katika Wilaya ya Micheweni tarehe 28/2/2022 ikiwa ni miongoni mwa uhamasishaji wa utalii wa ndani.
Baadhi ya Walimu wakuu wa skuli za Wilaya ya Micheweni wakishirikia katika semina ya uhamasishaji Utalii nchini
No comments:
Post a Comment