Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Ndg.Kinana Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Zimbabwe Nchini Tanzania.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mhe.Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, alipofika Ofisi kwa mazungumzo yaliofanyika katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania  Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (kushoto) leo Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza  Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania  Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (katikati) (wa kwanza kushoto) Ndg Ngemela Lubinga Katibu wa Idara ya Siasa Na Uhusiano wa Kimataifa CCM leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimuaga Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, leo April 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
(Picha zote na Fahad Siraji)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.