Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba Katika Futari Aliyowaandalia katika Ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Sala ya Magharibi iliyofanyika katika uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba,wakati wa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Uwanja huo leo 13-4-2022
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba. 
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba (hawapo pichani) na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 
WATOTO Wenye mahitaji maalum wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kwa Wananchi wa Mkoa huo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba

WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba leo 13-4-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.