Habari za Punde

MAJALIWA AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUPOKEA MWILI WA MBUNGE IRENE NDYAMKAMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2022 amewaongoza waombolezaji  kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama  kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma. Mheshimiwa Spika Dkt. Tulia Ackson (kulia kwa Waziri Mkuu) pia  alishiriki katika mapokezi  ya mwiili wa Mbunge huyo.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2022 amewaongoza waombolezaji  kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama  kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma. Mheshimiwa Spika Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) pia  alishiriki katika mapokezi  ya miili wa Mbunge huyo. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.