Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mpango Azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru  wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2022, hafla iliofanyika katika uwanja wa sabasaba uliopo mkoani Njombe leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru  wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2022, hafla iliofanyika katika uwanja wa sabasaba uliopo mkoani Njombe leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa kwa mwaka 2022, Tahili Nyandabara mara baada ya kuuwasha na kuzindua mbio hizo,hafla iliofanyika katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo tarehe 2 Aprili 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia hadhara iliojitokeza katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2022, hafla iliofanyika katika uwanja wa Sabasaba uliopo Mkoani Njombe  leo 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 2 April 2022 akiwasili katika uwanja wa Sabasaba uliopo Mkoani Njombe  kwaajili ya kuzindua mbio za Mwenge kwa mwaka 2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.