Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Francis Michael, kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mawaziri, kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2022. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.