Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Mpango Aemekutana na Kuzungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mheshimiwa Patricia Scotland mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 6 Mei 2022.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mheshimiwa Patricia Scotland akimkabidhi Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango jarida maalum la Jumuiya ya Madola mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na na ujumbe kutoka Jumuiya ya Madola ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mheshimiwa Patricia Scotland mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mheshimiwa Patricia Scotland mara baada kumalizika kwa mazungumzo baina yao yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 6 Mei 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.