Habari za Punde

Uzinduzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mkuranga.

Khalifa wa Al Imam  Ali Alhabshi na Mkuu wa Chuo cha Kwanza Hadharmout cha Yemen akiongiza dua wakati wa uzinduzi wa Msikiti Mkuranga iliyofanyika leo 28-5-2022 katika hafla iliyohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt Abubakar Zubeit bin Ally, wakiitikia dua baada ya kufunguliwa kwa msikiti huo 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.