Habari za Punde

WAZIRI MKUU TUZO ZA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI TANZANIA (EJAT)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwanahabari Nguli, Ndimara Tegambwage hundi ya Shilingi Milioni kumi baada ya kutambuliwa na kupewa tuzo ya Maisha ya Mafanikio katika Uandishi wa Habari (Laja) 2022. alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Mei 28, 2022. kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi Mkajanga (katikati)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwanahabari Nguli, Ndimara Tegambwage tuzo ya Maisha ya Mafanikio katika Uandishi wa Habari (Laja) 2022. alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Mei 28, 2022. kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Kajubi Mkajanga (katikati)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (Ejat), katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Mei 28, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.