Habari za Punde

Matukio ya Picha Waziri Mkuu Bungeni Dodoma.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene , bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma,Juni 6, 2022. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2022.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.