Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kati ya Coastal Union na Geita Gold Uwanja wa Mkwakwani Tang a Timu hizo Zimetoka Sare ya 1-1

Beki wa Timu ya Coastal Union akiwa kstika harakati za kumiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC uliofanyika katika Uwanja wa Mkwakwa Tanga. Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1

Wapenzi na Mashabiki wa Timu ya Coastal Union wakishangilia Timu yao katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga ikicheza na Timu ya Geita Gold mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1. 
Qachezaji wa Timu ya Geita Gold wkishangilia Timu yao baada ya kufunga goli la kuogoza dhidi ya Coastal Union mchezo uliomalizika kwa bao 1-1.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.