Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amezindua Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la "Zanzibar International Criket Club and Sports Complex" Fumba Wilaya ya Mangaribi "B" Unguja leo 3-6-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya michoro ya ramani ya ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Cricket Club and Sports Complex” kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Bw. Shariff Ali Shariff,(kushoto kwa Rais) utakaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,wakati wa Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia na kupata maelezo ya eneo litakalojengwa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Bw, Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika eneo la ujenzi huo Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja uliofanyika leo 3-6-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza wa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises ya India Bw.Jilesh Hitmat Babla,(kushoto kwa Rais)  akitowa maelezo ya ramani ya michoro ya ujenzi wa Uwanja wa Criket wa Kisasa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati uzinduzi wa Mradi huo na Uwekaji wa Jiwe la Msingi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akindoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Zanzibar , akiwa na Mwakilishi wa  Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India Bw. Sunil Manohar Gavaskar, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la ujenzi wa mradi huo Fumba Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 3-6-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akindoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Zanzibar , akiwa na Mwakilishi wa  Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India Bw. Sunil Manohar Gavaskar, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la ujenzi wa mradi huo Fumba Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 3-6-2022.
BAADHI ya Wawekezaji wa Mradi wa “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” wakijumuika na Wananchi katika moja ya burudani muziki wa Taarab wakati kikundi cha Wajelajela wakitowa burudani katika hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi, katika eneo la mradi huo Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurungezi Mtendaji wa ZIPA Bw., Shariff Ali Shariff akizungumza na kutowa maelezo ya Uwekezaji wa Mradi wa Kisasa wa Michezo  “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo na Uwekaji wa Jiwe la Msingi, uliyofanyika katika eneo la ujenzi wa mradi huo leo 3-6-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwakilishi wa Kampuni ya JHIL kutoka India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India Bw. Jilesh Hitmat Babla, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwakilishi wa Kampuni ya JHIL kutoka India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo  “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo  “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India
WANANCHI wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihuubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa  mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Ckriket Club and Spotrs Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022., unaojengwa na Wawekezaji kutoka Nchini India.
WAGENI waalikwa na Wawekezaji kutoka Nchini India wakihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la maeneo huru ya Uchumi Fumba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la mradi huo Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022
WANANCHI wa Kijiji cha Fumba wakihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la maeneo huru ya Uchumi Fumba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la mradi huo Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.