Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo
mkoani Kilimanjaro leo tarehe 18 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akipanda mti katika eneo la Hospitali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la
msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga
Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata
Kirongo Samanga ya mkoani Kilimanjaro wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika
Hospitali hiyo leo
No comments:
Post a Comment