MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mattar Zahor Masoud, akiwaongoza wananchi wa mkoa huo katika dua
ya pamoja ya kuiombea taifa juu ya majanga mbali mbali, pamoja na matukio ya
udhalilishaji yanayotokea, dua hiyo imefanyika katika uwanja wa michezo gombani
na kuandaliwa na ofisi ya Mufti Pemba
MAAFISA wadhamini
kutoka Wizara mbali mbali za Serikali Pemba, wakiwa katika dua ya pamoja ya
kuiombea nchi dhidi ya majanga mbali mbali, ikiwemo matukio ya udhalilishaji yanayoendelea
kutokea, dua hiyo imefanyika katika uwanja wa michezo gombani na kuandaliwa na
ofisi ya Mufti Pemba
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akiwaongoza wanawake katika dua ya
pamoja ya kuiombea nchi dhidi ya majanga mbali mbali, ikiwemo matukio ya
udhalilishaji yanayoendelea kutokea dua hiyo imefanyika katika uwanja wa
michezo gombani na kuandaliwa na ofisi ya Mufti Pemba.
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mattar Zahor Masoud (wa pili kulia), akiwaongoza wananchi wa kisiwa
cha Pemba katika dua ya pamoja ya kuiombea nchi dhidi ya majanga mbali mbali,
ikiwemo matukio ya udhalilishaji yanayoendelea kutoka dua hiyo imefanyika
katika uwanja wa michezo gombani na kuandaliwa na ofisi ya Mufti Pemba
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akiwaongoza viongozi wanawake wa Taasisi
za Serikali na wananchi, katika dua ya pamoja ya kuiombea nchi dhidi ya majanga
mbali mbali, ikiwemo matukio ya udhalilishaji yanayoendelea kutokea dua hiyo
imefanyika katika uwanja wa michezo gombani na kuandaliwa na ofisi ya Mufti
Pemba
MSAIDIZI katibu wa
Mufti Zanzibar Sheikh Said Ahmad Mohamed, akizungumza katika dua ya pamoja ya
kuiombea nchi dhidi ya majanga mbali mbali, ikiwemo matukio ya udhalilishaji
yanayoendelea kutokea, dua hiyo imefanyika katika uwanja wa michezo gombani na
kuandaliwa na ofisi ya Mufti Pemba
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Masoud Zahor, akizungumza mara baada ya kumaliza dua ya pamoja ya kuiombea nchi dhidi ya majanga mbali mbali, ikiwemo matukio ya udhalilishaji yanayoendelea kutokea, dua hiyo imefanyika katika uwanja wa michezo gombani na kuandaliwa na ofisi ya Mufti Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
No comments:
Post a Comment