Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Makaliwa Amekutana na Katibu Mkuu wa ACT WAZALENDO - Ado Shaibu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Katibu Mkuu wa Chama ACT Wazalendo, Ado Shaibu baada ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam, Julai 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.