Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa CDC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky (kulia kwake) alipokutana nae Ofisini ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky, alipokutana nae Ofisini ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 27, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi zawadi ya picha ya wanyama Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky, alipokutana nae Ofisini  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 27, 2022.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.