Habari za Punde

Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi akutana kufanya mazungumzo na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation Ikulu





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation na  ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ikulu] 30/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza akiwa miongoni mwa  ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ikulu] 30/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na ujumbe wa  Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar  .[Picha na Ikulu] 30/08/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa  Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation mara baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/08/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.