Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar

Baadhi ya Viongozi na watendaji waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/08/2022.
Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar wakishudia utiaji wa saini makabidhiano hayo hafla iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/08/2022.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa na  Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba .[Picha na Ikulu] 10/08/2022.


Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia  Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakibadilishana hati za utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar  hafla   iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa na  .[Picha na Ikulu] 10/08/2022.

Rais   wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia  Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) akipokea data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakati wa Makabidhiano ya data   za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina  ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar   hafla   iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/08/2022.
Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba (kulia) alipokuwa akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini huo.[Picha na Ikulu] 10/08/2022

Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ waliohudhuria katika hafla ya Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar wakishudia utiaji wa saini makabidhiano hayo hafla iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/08/2022.

Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ wakimsikiliza   Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza  katika hafla ya utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar   hafla iliyofanyika  leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/08/2022.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akimsikiliza Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, [Picha na Ikulu] 10/08/2022.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa na  akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, [Picha na Ikulu] 10/08/2022. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.