Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungulia maji kuashiria
uzinduzi wa mradi wa maji safi wa Shongo-Mbalizi
katika eneo la Mbalizi Mkoani Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa
Mbalizi mkoani Mbeya mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi wa Shongo-Mbalizi
tarehe 05 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi pamoja na
Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya Kitengo cha Wazazi na
Watoto Wachanga Meta mara baada ya kuzindua ujenzi wa jengo la afya ya huduma
ya mama na mtoto Meta Mkoani Mbeya tarehe 05 Agosti, 2022.
No comments:
Post a Comment