Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Soko Kuu la Njombe Mjini mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi Soko Kuu la Njombe Mjini katika hafla iliyofanyika mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Soko Kuu la Njombe Mjini mara baada ya kulizindua rasmi Soko hilo tarehe 10 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Njombe mara baada ya kuzindua Soko Kuu la Njombe Mjini tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Tanganyika Wattle ltd Jaswant Singh Rai kuhusu utendaji kazi wa kiwanda hicho ikiwemo uzalishaji wa umeme ambao hutumika kiwandani hapo pamoja na kuiuzia Tanesco kwa ajili ya matumizi ya Wananchi tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua kinu cha kufua Umeme katika Kiwanda cha TANWAT Miwati Mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya malighafi inayotumika kwenye kazi ya ufuaji wa Umeme alipotembelea Kiwanda cha TANWAT Miwati Mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.