Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr  Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo A.Saqware
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia ngoma ya utamaduni ikitowa burudani katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni  Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika, uliofanyika leo 29-8-2022, katika ukumbi wa hoteli hiyo (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum, Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware, Mama Margaret Ikongo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni , kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliyofanyika leo 29-8-2022 katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdallah Saqware.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandali ya Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika.Mama Margaret Ikongo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo  29-8-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
MWENYEKITI wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi.Patty Karuaihe Martin akizungumza na kutowa maelezo ya Umoja huo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja  wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika uliyofanyika leo 29-8-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Jijini Zanzibar, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
CEO wa Kampuni ya Masawara Group. Bw.Shingai Mutasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-8-2022, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdallah Saqware akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 29-8-2022.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar leo.29-8-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, uliowashirikisha Wadau wa Bima, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 29-8-2022
WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-8-2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.