Habari za Punde

Waziri Mkuu Atembelea Kiwanda cha "TOOTHPICKS" Ruangwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia muanzi ambao tayari umeandaliwa kwa ajili ya kutengenezea vijiti vya meno ‘Toothpicks’ alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo cha Jwapano Bamboo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia vijiti vya meno ‘Toothpicks’ vilivyotengenezwa na mti wa muanzi alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi, Agosti 22, 2022. Kulia ni Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bw. Baraka Peneza.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia muanzi ambao tayari umeandaliwa kwa ajili ya kutengenezea vijiti vya meno ‘Toothpicks’ alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo cha Jwapano Bamboo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.