Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Waziri Mkuu wa Djibout

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamedjijini Tunis, Tunisia  Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia  Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.