Habari za Punde

Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Makete Mkoani Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe - Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe - Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Makete mara baada ya kufungua rasmi Barabara ya Njombe- Makete km107.4 Mkoani Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.