Habari za Punde

ZIPA Watiliana Saini na Wakala wa Barabara Zanzibar Ujenzi wa Barabara Maeneo Huru ya Uchumi

Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar ZIPA imetiliana saini ya makubaliano ya ujenzi wa miundombinu ya barabara za ndani na Wakala wa Barabara Zanzibar.

Ujenzi huo utaanza hivi karibuni na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi mitatu katika maeneo huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
Ghafla hiyo imefanyika katika ofisi za Mamlaka Maruhubi Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.