Habari za Punde

Mkutano na Waandishi wa Habari-Ziara DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi ya Siku moja Kinshasa nchini DRC tarehe 18 Agosti, 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.