Habari za Punde

Balozi Sokoine Akabidhi Zawadi ya Picha kwa Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Saudi Arabia

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akimkabidhi zawadi ya picha Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Ufalme wa Saudi Arabia Luteni Generali Suliman Al-Yahya jana jioni katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.