Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Premier League Kati ya Polisi na Taifa ya Jangombe Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0 Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja

Beki wa Timu ya Taifa ya Jangombe akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu  ya PBZ Premier League mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana mchezo uliofanyika 20-9-2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.