Habari za Punde

Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Bw.Shariff Atembelea na Kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Ndani na Miundombini Mengini katika Eneo la la Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba

Mkurugenzi Mtendaji ZIPA Shariff Ali  Shariff akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za ndani na miundombinu mengine katika Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba….alipata fursa pia ya kukutana na wananchi wa maeneo ya Kiuyu na Maziwangombe ambao wameonesha utayari wa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuhakikisha mradi huo utatekelezwa kwa mafanikio na ufanisi mkubwa
Mkurugenzi Mtendaji ZIPA Shariff Ali Shariff akiwa na Wananchi wa Kiuyu na Maziwangombe wakati wa ziara yake kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za ndani na miundombinu mengine katika Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba.
Mkurugenzi Mtendaji ZIPA Shariff Ali Shariff akizungumza na Wananchi wa Kiuyu na Maziwangombe  Micheweni Pemba baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za ndani na miundombinu mengine katika Maeneo Huru ya Uchumi Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa ziara yake katika eneo hilo la uwekezaji Micheweni Pemba.
Wananchi wa Kiuyu na Maziwangombe Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Bw. Shariff Ali Shariff wakati akizungumza na wananchi hao.
Mkurugenzi Mtendaji ZIPA Shariff Ali Shariff akizungumza na Wandishi wa habari mbalimbali wakati wa ziara yake kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za ndani na miundombinu mengine katika katika Maeneo Huru ya Uchumi Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa ziara yake katika eneo hilo la uwekezaji Micheweni Pemba.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.