Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.
KAMATI YA PIC YAONA TIJA UWEKEZAJI MRADI WA UMEME MKUBWA NYAKANAZI, KAGERA
-
*Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kupitia kwa
Mwenyekiti wake, Mhe. Jerry W. Slaa (Mbunge) imeona tija na jitihada kubwa ...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment