Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Afungua Mkutano wa Kongamano la Sekta ya Maji Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tilip leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Adam O.Karia  wakati akitembelera maonesho ya Sekta ya Maji katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja , wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo leo 14-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma kipeperushi wakati akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya L&T Construction Water Effluent kutoka India,yaliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 14-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza akimsikiliza Menaja Biashara wa ZECO Ndg. Thabit Salum Khamis, wakati akitembelera maonesho ya Sekta ya Maji katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja , wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo leo 14-9-2022


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.