Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa Iliyofanyika Msikiti wa Mabuluu Mlandege leo 2-9-2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Sheikh Said Ali Saleh.(hayupo pichani) kabla ya Ibada ya Sala iliyofanyika katika Msikiti Mabuluu mlandege  Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika  leo 2-9-2022 katika Mskiti wa Mabuluu Mlandege Wilaya ya Mjini Unguja
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Mabuluu Mlandege Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mabuluu Mlandege Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Msikiti Mabuluu Mlandege Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Msikiti Mabuluu Mlandege Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-9-2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.