Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wa pili kushoto) wakiweka maua wakati wa mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe yaliyofanyika Tokyo nchini Japan Septemba 27, 2022. Kushoto ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Consolata Luvanda, na kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wa pili kushoto) wakijiandaa kuweka maua wakati wa mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe yaliyofanyika Tokyo nchini Japan Septemba 27, 2022. Wengine kutoka kushoto ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Consolata Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Baraka Luvanda na kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment