Habari za Punde

Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun : Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar Mhe. Mwalimu Mussa Hassan

Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar Mwalimu Mussa Hassan Mussa amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika 

kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu  kwa ajili ya maziko yanatarajiwa kufanyika saa kumi leo baada ya sala ya alasiri. 

Innalillahi waina ilaihi rajiun Allah amsameh makosa yake na awape subra wafiwa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.