Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Hussein Ali Mwinyi Ameshiriki Kuwachagua Viongozi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani leo 2-10-2022

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya  Wilaya ya Amani, uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi  Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini leo 2-10-2022
Wagombea Nafasi za Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wakijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchagiuzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi  ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Amani Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Tofiq Salim Turky akipiga kura kuwachagua Viongozi wa Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo 2-10-2022 katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa  Uchaguzi wa CCM Wilaya ya Amani Mbunge wa Jimbo la Amani Mhe. Mussa Hassan Mussa akipiga kura kuwachagua Viongozi wa Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo 2-10-2022 katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa  Uchaguzi wa CCM Wilaya ya Amani Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza akipiga kura kuwachagua Viongozi wa Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama uliofanyika leo 2-10-2022 katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 2-10-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya  Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya  Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya  Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya  Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya  Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya  Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.