Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

 


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.