Habari za Punde

Hafla ya makabidhiano ya Ofisi ya Rais Ikulu leo

MAAFISA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi baina ya Katibu Mkuu Mpya  Ndg,Saleh Juma Mussa  aliyeteuliwa hivi karibuni na Masoud  Hussein Ali aliyekuwa katibu wa  Ofisi ya Rais -Ikulu,katika hafla  iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano ofisini hapo   [Picha na Ikulu] 14/11/2022.
Katibu Mkuu Mpya  Ndg,Saleh Juma Mussa  (kushoto) aliyeteuliwa hivi karibuni akikabidhiana  Ofisi na aliyekuwa katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Masoud  Hussein Ali aliyekuwa katibu wa  Ofisi ya Rais -Ikulu,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano ofisini hapo.[Picha na Ikulu] 14/11/2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.