Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika duru ya nne ya mahafali ya 52 Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Magharibi "B" Unguja leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa mgeni rasmi katika  duru ya nne ya mahafali ya 52 Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Magharibi "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu].14/11/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipohudhuria katika wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,akiwa mgeni rasmi katka duru ya nne ya mahafali ya 52 Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Baadhi ya wahitimu wa  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja wakiwa katika maandamano ya duru ya nne ya mahafali ya 52,yaliyofanyika leo,katika viwanja vya Chuo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Rais  Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mkuu wa  Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,pamoja na Viongozi wa Chuo hicho katika maandamano ya  duru ya nne ya mahafali ya 52,yaliyofanyika leo,katika viwanja vya  Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. [Picha na Ikulu].14/11/2022.
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni Miongoni mwa waalikwa ktika sherehe ya mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,yaliyofanyika leo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Wahitimu wa Digirii za Uzamivu,Umahiri na Awali wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya kuwatunuku Shahada wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Baadhi ya wanafamilia wa Wahitimu wa Digirii za Uzamivu,Umahiri na Awali,wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya kuwatunuku Shahada wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)  alipokuwa akimkabidhi cheti Ndg.Kulwa Mtaki,mara baada ya kutunukiwa Digirii ya Udaktari  wa falsafa katika sayansi ya  za Bahari (Doctor of  philosopony in Marine  Sciences)  ya Chuo Kikuu cha  Dar es salam  katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.,[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete(katikati) akimtunuku  Ndg.Mbiru Moses,Digirii ya Udaktari  wa falsafa katika sayansi ya  za Bahari (Doctor of  philosopony in Marine  Sciences)  ya Chuo Kikuu cha  Dar es salam  katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,yaliyofanyika leo viwanja vya Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.(kushoto) Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akiwa mgeni rasmi wa mahfali hayo.[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)  alipokuwa akimkabidhi cheti Ndg.Mbiru Moses, mara baada ya kutunukiwa Digirii ya Udaktari  wa falsafa katika sayansi ya  za Bahari (Doctor of  philosopony in Marine  Sciences)  ya Chuo Kikuu cha  Dar es salam  katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.,[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Wahitimu wa Digirii za Uzamivu,Umahiri na Awali wakila kiapo cha mara baada ya kutunu kiwa  shahada zao leo katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,yaliyofanyika leo viwanja vya Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya kuwatunuku Shahada wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.[Picha na Ikulu].14/11/2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.