Habari za Punde

Kamati ya kuimarisha uhimili wa mabadiliko ya tabia ya nchi yafika Matemwe

Sheha wa Shehia ya  Matemwe kijini  Msiyakwe Makame Haji akiwakaribisha baadhi kamati ya kuimarisha uhimili wa mabadiliko ya tabia ya nchi na waandishi wa habari wakati walipofika kijijini hapo (kulia) Alawi Haji Hija ni mratibu wa kuimarisha uhimili wa mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kutumia mfumo wa ikologia vijijini na (kushoto) Mwandishi Mwandamizi Raya Hamad
Mratibu wa wa kuimarisha uhimili wa mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kutumia mfumo wa ikologia vijijini Alawi Haji Hija akiwapa maelezo wandishi wa habari waliofika kijijini hapo kuhusu kazi wanazozifanya wajasiriamali ndani ya kijiji chao (katikati) Sheha wa Shehiya ya  Matemwe kijini  Msiyakwe Makame Haji na (kulia) Mwandishi Mwandamizi Raya Hamad kutoka Afisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar.

Mmoja wa wajasiriamali Fatma Omar Juma akiwaelezea  waandishi wa habari jinsi wanavyofanya kazi zao kijijini hapo (kulia) Mratibu wa wa kuimarisha uhimili wa mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kutumia mfumo wa ikologia vijijini Alawi Haji Hija.  

Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.