Habari za Punde

Kutoka Bungeni Dodoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum Rose Tweve (kushoto) na Juliana Shonza (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Mwibara Charles Kajege (kushoto) na Mbunge wa Katavi Isaac Kamwelwe (katikati), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.