Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia kwenye Mkutano wa hadhi ya Juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Sharm El Sheikh, nchini Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu  Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.
Ujumbe wa Tanzania ulioambatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakimsikiliza kwa makini Rais Samia alipokuwa akizungunmza katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.

Viongozi mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.