Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Afungua Mkutano wa 26 wa Utafiti

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Golden Tulip Kiembesamaki kufungua mkutano wa 26 wa utafiti uliofanyika leo,mkutano huo wenye lengo la uendelezaji wa biashara kwa kuzingatia mabadiliko ya Tabianchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kulia)  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga(kushoto) mara baada ya kuwasili  Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki kufungua mkutano wa 26 wa utafiti uliofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga(kulia) mara baada ya kuwasili  Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki kufungua mkutano wa 26 wa utafiti uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Dr.Donald Mmari,Mkurugenzi Mtendaji (REPOA) Taasisi ya  Sera na Utafiti na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano wa 26 wa utafiti uliofanyika leo  Golden Tulip Hotel Kiembesamaki,(kulia)Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya  Sera na Utafiti(REPOA)  Dr.Donald Mmari,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed said.
Wadau wa mashirika na taasisi mbali mbali wakiwa Ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi kushiriki mktano wa 26 wa utafiti uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)

Washiriki wa Mkutano wa 26 wa Utafiti kutoka Taasisi mbali mbali wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipoitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo katika Ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.