Habari za Punde

Tamasha la utamaduni wa Afrika Kusini lafanyika Ngome Kongwe

Katibu mtendaji wa baraza la Sanaa Zanzibar, Omar Abdalla Adam akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  tamasha litakalofanyika Ngome kongwe mjini Zanzibar huko ofisini kwake Mwanakwerekwe.
Mkurugenzi wa Kimataifa na mahusiano ndani ya michezo , Sanaa na Utamaduni  kutoka Afrika Kusini akiwapa maelezo waandishi wa habari kuhusu tamasha la utamaduni lililofanyika katika Ngomekonge Forodhani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Ngoma ya asili tarabu kutoka Zanzibar Salum Mohammed Omar akiwapatia maelezo baadhi ya waandishi wa habari waliyofika katika tamasha la utamaduni lililofanyika Ngome kongwe Mjini Zanzibar.

Watalii mbali mbali waliyofika katika tamasha la utamaduni wa Afrika Kusini wakitembea katika tamasha hilo lililofanyika Ngomekongwe Forodhani Mjini Zanzibar.

Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.