Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Umma wa wilaya ya Kisarawe akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira abaye pia ni Mbunge wa Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo.
Baadhi ya Watumishi wa Umma wa wilaya ya Kisarawe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani
Baadhi ya Watumishi wa Umma wa wilaya ya Kisarawe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment