Habari za Punde

Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Azungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu  Shaka akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Jijini Dodoma leo 6-12-2022, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma. 
Akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wakati akitowa taarifa ya Kikao kwa waandishi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.