Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ahudhuria Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM Jijini Dodoma

 

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa  10 wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 8-12-2022, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mstaafu Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma,wakati wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama cha Mapinduzi, uliofanyika leo 8-12-2022


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, wakati wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM uliofanyika leo 8-12-2022.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.